Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

A7-C

Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma Kuu ya Yesu Huko Galilaya (Sehemu ya 1)

WAKATI

MAHALI

TUKIO

MATHAYO

MARKO

LUKA

YOHANA

30

Galilaya

Kwanza Yesu atangaza hivi “Ufalme wa mbinguni umekaribia”

4:17

1:14, 15

4:14, 15

4:44, 45

Kana; Nazareti; Kapernaumu

Amponya mwana wa mtawala; asoma kutoka kwenye kitabu cha Isaya; aenda Kapernaumu

4:13-16

 

4:16-31

4:46-54

Bahari ya Galilaya, karibu na Kapernaumu

Awaita wanafunzi wanne: Simoni na Andrea, Yakobo na Yohana

4:18-22

1:16-20

5:1-11

 

Kapernaumu

Amponya mama-mkwe wa Simoni na wengine

8:14-17

1:21-34

4:31-41

 

Galilaya

Ziara ya kwanza ya Galilaya, na wanafunzi wanne

4:23-25

1:35-39

4:42, 43

 

Amponya mwenye ukoma; umati wamfuata

8:1-4

1:40-45

5:12-16

 

Kapernaumu

Amponya mtu aliyepooza

9:1-8

2:1-12

5:17-26

 

Amwita Mathayo; ala pamoja na wakusanya kodi; aulizwa kuhusu kufunga

9:9-17

2:13-22

5:27-39

 

Yudea

Afundisha kwenye masinagogi

   

4:44

 

31, Pasaka

Yerusalemu

Amponya mgonjwa huko Bethzatha; Wayahudi wataka kumuua

     

5:1-47

Arudi kutoka Yerusalemu (?)

Wanafunzi wachuma masuke ya ngano siku ya Sabato; Yesu “Bwana wa Sabato”

12:1-8

2:23-28

6:1-5

 

Galilya; Bahari ya Galilaya

Aponya mkono wa mtu siku ya Sabato; umati wamfuata; aponya watu wengi zaidi

12:9-21

3:1-12

6:6-11

 

Mlimani karibu na Kapernaumu

Achagua mitume 12

 

3:13-19

6:12-16

 

Karibu na Kapernaumu

Mahubiri ya Mlimani

5:1–7:29

 

6:17-49

 

Kapernaumu

Amponya mtumishi wa ofisa wa jeshi

8:5-13

 

7:1-10

 

Naini

Amfufua mwana wa mjane

   

7:11-17

 

Galilaya (Naini au karibu na hapo)

Yohana awatuma wanafunzi wake kwa Yesu; ukweli wafunuliwa kwa watoto; nira laini

11:2-30

 

7:18-35

 

Galilaya (Naini au karibu na hapo)

Mwanamke mtenda dhambi amimina mafuta kwenye miguu ya Yesu; mfano wa watu wawili wanaodaiwa

   

7:36-50

 

Galilaya

Safari ya pili ya kuhubiri, akiwa na mitume 12

   

8:1-3

 

Afukuza roho waovu; dhambi isiyosameheka

12:22-37

3:19-30

   

Hatoi ishara yoyote isipokuwa ishara ya Yona

12:38-45

     

Mama yake na ndugu zake waja; asema wanafunzi wake ndio ndugu na dada zake

12:46-50

3:31-35

8:19-21