Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

B15

Kalenda ya Kiebrania

NISANI (ABIBU) Machi—Aprili

14 Pasaka

15-21 Mikate Isiyo na Chachu

16 Kutoa mazao ya kwanza

Mvua zanyesha, Mto Yordani wafurika, theluji yayeyuka

Shayiri

IYARI (ZIVU) Aprili—Mei

14 Pasaka Iliyofanywa Baadaye

Majira ya kiangazi yaanza, kwa kawaida anga halina mawingu

Ngano

SIVANI Mei—Juni

6 Sherehe ya Majuma (Pentekoste)

Joto la kiangazi, hewa safi

Ngano, tini za kwanza

TAMUZI Juni—Julai

 

Joto laongezeka, umande mwingi katika maeneo mbalimbali

Zabibu za kwanza

ABI Julai—Agosti

 

Joto lafikia kilele

Matunda ya kiangazi

ELULI Agosti—Septemba

 

Joto laendelea

Tende, zabibu, na tini

TISHRI (ETHANIMU) Septemba—Oktoba

1 Tarumbeta yapigwa

10 Siku ya Kufunika Dhambi

15-21 Sherehe ya Vibanda

22 Kusanyiko takatifu

Mwisho wa kiangazi, mwanzo wa mvua za mapema

Kulima

HESHVANI (BULI) Oktoba—Novemba

 

Mvua nyepesi

Zeituni

KISLEVU Novemba—Desemba

25 Sherehe ya Wakfu

Mvua yaongezeka, baridi kali, theluji milimani

Mifugo yafungiwa

TEBETHI Desemba—Januari

 

Baridi kali kabisa, mvua, theluji milimani

Mimea yachipuka

SHEBATI Januari—Februari

 

Baridi yapungua, mvua yaendelea

Milozi yachanua

ADARI Februari—Machi

14, 15 Purimu

Ngurumo na mvua za mawe mara kwa mara

Kitani

VEADARI Machi

Mwezi huu uliongezwa mara saba katika muda wa miaka 19