Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Esta

Sura

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10

Muhtasari wa Yaliyomo

  • 1

    • Karamu ya Mfalme Ahasuero kule Shushani (1-9)

    • Malkia Vashti akataa kutii (10-12)

    • Mfalme ashauriana na wanaume wake wenye hekima (13-20)

    • Barua za agizo la mfalme zatumwa (21, 22)

  • 2

    • Malkia mpya atafutwa (1-14)

    • Esta awa malkia (15-20)

    • Mordekai afunua njama (21-23)

  • 3

    • Mfalme amkweza Hamani (1-4)

    • Hamani apanga njama ya kuwaangamiza Wayahudi (5-15)

  • 4

    • Mordekai aomboleza (1-5)

    • Mordekai amwomba Esta aingilie kati (6-17)

  • 5

    • Esta aenda mbele ya mfalme (1-8)

    • Hasira na kiburi cha Hamani (9-14)

  • 6

    • Mordekai aheshimiwa na mfalme (1-14)

  • 7

    • Esta afunua uovu wa Hamani (1-6a)

    • Hamani atundikwa kwenye mti alioutengeneza (6b-10)

  • 8

    • Mordekai apandishwa cheo (1, 2)

    • Esta amsihi mfalme (3-6)

    • Mfalme atoa agizo lingine (7-14)

    • Wayahudi wapata kitulizo na kushangilia (15-17)

  • 9

    • Ushindi wa Wayahudi (1-19)

    • Sherehe ya Purimu yaanzishwa (20-32)

  • 10

    • Ukuu wa Mordekai (1-3)