ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Ezekieli Danieli Mika Habakuki Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Kitabu cha Amosi Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Amosi apokea ujumbe kutoka kwa Yehova (1, 2) Wahukumiwa kwa sababu ya kuasi tena na tena (3-15) Siria (3-5), Ufilisti (6-8), Tiro (9, 10), Edomu (11, 12), Amoni (13-15) 2 Wahukumiwa kwa sababu ya kuasi tena na tena (1-16) Moabu (1-3), Yuda (4, 5), Israeli (6-16) 3 Kutangaza hukumu ya Yehova (1-8) Mungu afunua siri yake (7) Ujumbe dhidi ya Samaria (9-15) 4 Ujumbe dhidi ya ng’ombe wa Bashani (1-3) Yehova adhihaki ibada ya uwongo ya Waisraeli (4, 5) Waisraeli wakataa nidhamu (6-13) “Jitayarishe kukutana na Mungu wako” (12) ‘Mungu humwambia mwanadamu mawazo Yake’ (13) 5 Waisraeli ni kama bikira aliyeanguka (1-3) Mtafuteni Yehova, mwendelee kuishi (4-17) Chukieni maovu, pendeni mema (15) Siku ya Yehova itakuwa siku ya giza (18-27) Dhabihu za Waisraeli zakataliwa (22) 6 Ole wao wasiojali! (1-14) Vitanda vya pembe za tembo; mabakuli ya divai (4, 6) 7 Maono yanayoonyesha mwisho wa Israeli unakaribia (1-9) Nzige (1-3), moto (4-6), timazi (7-9) Amosi aambiwa aache kutabiri (10-17) 8 Maono ya kikapu kilichojaa matunda ya wakati wa kiangazi (1-3) Wakandamizaji washutumiwa (4-14) Njaa ya kiroho (11) 9 Hukumu za Mungu haziepukiki (1-10) Kibanda cha Daudi kitainuliwa (11-15) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Amosi—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) Amosi—Yaliyomo Lugha ya Alama ya Tanzania Amosi—Yaliyomo https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg nwt Amosi 1488