Hamia kwenye habari

Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Mifumo ya Asili

Sanaa ya Wanyama​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Baadhi ya wanyama wana rangi maridadi zilizopangwa vizuri, ni jambo linalostaajabisha sana.

Usanidi-mwanga​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Usanidi-mwanga ni nini, na unatunufaishaje?

Uwezo wa Wanyama wa Kutumia Nishati Vizuri​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Je, uwezo wa wanyama kutumia nishati vizuri unaonyesha chochote kuhusu chanzo cha uhai?

Mwangaza Kutokana na Uhai​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Mbali tu na kutokeza mwangaza, viumbe fulani hufanya hivyo kwa njia inayotumia nishati ndogo sana kuliko vyanzo vilivyotengenezwa na mwanadamu. Jinsi gani?

Mwili wa Mwanadamu

Uwezo wa Chembe Kubadilikana​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ukuzi wa mtoto tumboni huanza kwa chembe zinazojigawanya katika mamilioni ya chembe ambazo zitakuja kufanya kazi tofauti-tofauti.

Mfumo wa Kusafirisha Oksijeni​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Unaweza kujifunza kuhusu mfumo unaostaajabisha wa kuchukua oksijeni na kuipeleka mahali inapohitajika mwilini.

Uwezo wa Mwili wa Mwanadamu wa Kujiponya

Wanasayansi wameigaje uwezo huo wanapotengeneza plastiki?

Wanyama wa Nchi Kavu

Ubongo wa Kindi wa Aktiki​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ona uwezo wake wa pekee wa kujirekebisha baada ya kulala kwa muda mrefu.

Manyoya ya Fisi Maji wa Baharini

Baadhi ya wanyama wanaoishi majini wana tabaka la mafuta linalowasaidia kudumisha joto. Fisi maji wa baharini hutumia mbinu nyingine.

Ulimi wa Paka​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Paka wa nyumbani wanaweza kutumia karibu asilimia 24 ya muda wao wakijisafisha. Ni nini kinachowawezesha kujisafisha vizuri?

Kazi ya Sharubu za Paka

Kwa nini wanasayansi wanabuni roboti zilizo na vipokezi vinavyoitwa e-whiskers?

Uwezo wa Kunusa wa Mbwa—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ni nini kinachowafanya wanasayansi watake kuiga uwezo wa mbwa wa kunusa?

Mguu wa Farasi

Kwa nini wahandisi wameshindwa kuiga muundo wa mguu wa farasi?

Uteute wa Konokono Unaonata

Gundi inayofanana na uteute wa konokono inaweza kuwa sehemu ya vifaa vya kazi vya kila mtaalamu wa upasuaji, na kuondoa uhitaji wa kushona na kuunganisha kwa kutumia uzi na stepla.

Uhai Ndani ya Maji

Ngozi ya Papa​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Muundo wa ngozi ya papa unazuiaje vimelea visijae juu yake?

Nyangumi Aina ya Cuvier, Mpiga Mbizi Hodari​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Mamalia hawa hupiga mbizi hadi kufikia vina virefu sana na wanashika pumzi kwa vipindi virefu. Ni nini kinachowawezesha kufanya hivyo?

Kikono cha Nyangumi Mwenye Nundu

Ona jinsi ubuni wa kikono cha mnyama huyu mkubwa umeathiri sehemu fulani za maisha yako.

Uwezo wa Kujisafisha wa Ngozi ya Nyangumi Anayeitwa Pilot—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Kwa nini kampuni za usafirishaji zinapendezwa na uwezo huo wa pekee?

Uwezo wa Pomboo wa Kutambua Mawimbi ya Sauti—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Wanasayansi wanajaribu kuiga uwezo wa pekee wa wanyama hawa wa kutalii na kuelewa mazingira yao.

Uteute wa Hagfish​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Anakera samaki wanaoweza kumshambulia lakini Anavutia wanasayansi. Kwa nini?

Ngozi ya Mbilimbibahari

Ni nini kinachotokeza uwezo wa kubadilika wa ngozi ya kiumbe huyu wa baharini?

Jinsi Samaki Anayeitwa Grunion Anavyotaga Mayai Yake​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Pata kujua jinsi kutaga mayai kwa njia ya pekee na kwa muda hususa kunavyowasaidia samaki hawa kutokeza kikazi kinachofuata.

Muundo wa Meno ya Koanata

Ni nini hufanya meno ya koanata yawe yenye nguvu hata kuliko utando wa buibui?

Gundi ya Kiganzimwamba

Gundi ya kiganzimwamba inasemekana kuwa bora zaidi kuliko gundi yoyote inayotengenezwa na wanadamu. Lakini hadi hivi karibuni, wanadamu hawakuelewa jinsi kiganzimwamba anavyojigandisha kwenye sehemu zenye umajimaji.

Nyuzinyuzi za Kome wa Baharini

Kome huning’inia kwa kutumia nyuzinyuzi. Kuelewa jinsi nyuzinyuzi hizo hufanya kazi kunaweza kutusaidia kubuni njia bora za kushikisha vifaa kwenye majengo au kuunganisha kano kwenye mifupa.

Umbo la Magamba ya Moluska

Umbo na muundo wa magamba ya moluska huwalinda viumbe hao.

Uwezo wa Kujibadili Rangi wa Ngisi Anayeitwa Cuttlefish

Wataalamu wanajaribu kuiga uwezo huu kwa kubuni mavazi yanayoweza kubadili rangi upesi.

Kiungo cha Ngisi wa Hawaii Kinachotoa Mwangaza

Mnyama huyo hutokeza mwangaza ili asionekane.

Mkono Wenye Kustaajabisha wa Pweza​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Wahandisi wametokeza mkono wa roboti wenye uwezo wa kipekee kwa kumwangalia pweza.

Gamba “Lenye Jicho” la Brittle Star

Jifunze mambo yenye kustaajabisha kuhusu kiumbe huyo anayeishi kwenye matumbawe.

Mkia wa Farasi-Maji

Ona kwa nini mkia wa kipekee wa farasi-maji unavyowachochea wataalamu kubuni roboti zinazotemgemea muundo huo.

Uwezo wa Samaki wa Kuogelea Katika Vikundi

Tunaweza kujifunza nini kutoka kwa samaki wanaoogelea wakiwa kikundi ili kupunguza mgongano wa magari?

Kishikizo cha Samaki Anayeitwa Remora​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ni nini kinachomwezesha samaki huyu kujishikiza kwenye viumbe wengine kwa nguvu sana?

Ndege

Sauti za Ndege Waimbaji​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ni nini huwawezesha ndege kuimba nyimbo tata na zenye unamnanamna?

Ulimi wa Ndege Mvumaji​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ndege huyu mdogo sana hutumia njia bora kabisa ya kunywa nekta bila kupoteza nguvu zake.

Membe Anavyojitosa Baharini​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ndege hawa hufauluje kuendelea kuishi baada ya kupiga maji kwa kishindo kinachozidi nguvu za uvutano kwa zaidi ya mara 20?

Rangi za Ndege Zisizofifia

Rangi za ndege zisizofifia zimechocheaje kutokezwa kwa rangi bora zaidi na vitambaa?

Bawa la Bundi

Muundo tata wa bawa la bundi huenda ukasaidia kutokeza mitambo inayozungushwa na upepo isiyotokeza kelele nyingi.

Ncha za Mabawa ya Ndege Wanaopaa Angani

Kwa kuiga muundo wa mabawa ya ndege, wahandisi wameokoa lita milioni 7600 za mafuta ya ndege katika kipindi cha mwaka mmoja.

Manyoya ya Pengwini Anayeitwa Emperor

Wataalamu wa viumbe wa majini wamegundua nini kuhusu manyoya ya ndege huyu?

Alibatrosi Anayeruka Bila Kupoteza Nishati Nyingi

Pata kujua jinsi ndege huyu anavyopaa kwa saa nyingi bila kutua na hata bila kupiga mabawa yake!

Mfumo wa Kumwongoza Chamchanga Anayeitwa Bar-Tailed

Pata kujua kuhusu safari ya siku nane ya ndege huyu, safari yenye kustaajabisha zaidi kwa wanadamu.

Kiota cha Ndege Anayeitwa Mallee​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Mallee huchimba shimo kubwa linalohifadhi joto ambalo linawezesha mayai kutotolewa. Ndege huyo hudumishaje kiwango hicho cha joto licha ya majira mbalimbali kila mwaka?

Wanyama Wanaotambaa na Amfibia

Mjusi Mwenye Ngozi Yenye Miiba Inayofyonza Unyevu

Mjusi huyo hupandishaje maji kutoka miguuni hadi mdomoni mwake?

Mkia wa Mjusi Anayeitwa Agama

Mjusi huyo anawezaje kuruka kutoka mahali tambarare hadi ukutani?

Taya la Mamba

Taya la mamba lina uwezo mkubwa wa kung’ata kwa nguvu mara tatu zaidi ya simba au simbamarara, pia lina uwezo wa hali ya juu wa hisi kuliko ule wa ncha ya kidole cha mwanadamu. Jinsi gani?

Ngozi ya Nyoka

Ni nini kinachoifanya ngozi ya nyoka iwe imara hivi kwamba aweze kupanda kwenye miti inayokwaruza au kuchimba kwenye mchanga unaochubua?

Mfumo wa Uzazi wa Chura Anayeangua Tumboni

Kwa nini mwanamageuzi fulani alisema kwamba ni jambo lisilowezekana kwa chura huyo kubadili mfumo wake wa uzazi hatua kwa hatua?

Mlio wa Chura wa Japani Anayeishi Kwenye Miti​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Chura wa kiume wa Japani anayeishi kwenye miti hutumia mbinu gani kutokeza sauti ili kuwavutia vyura wa kike?

Wadudu

Uwezo wa Nyuki wa Kupaa​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ni nini kinachomsaidia kiumbe mdogo hivyo awe na uwezo mkubwa sana wa kupaa kwa ustadi kuliko marubani wenye uzoefu?

Mbinu ya Nyuki ya Kutua

Kwa nini mbinu ya kutua ya nyuki inafaa kutumiwa katika mfumo wa kuongoza roboti zinazoruka angani?

Sega la Asali

Nyuki walijuaje kutumia nafasi vizuri, miaka mingi kabla ya wanahisabati kuthibitisha jambo hilo mwaka wa 1999?

Chungu Wanaepukaje Msongamano Barabarani?

Chungu wanaepuka msongamano. Wanatumia mbinu gani?

Shingo ya Chungu

Mdudu huyu anawezaje kubeba mzigo mzito kuliko mwili wake?

Uwezo wa Kusafisha Antena wa Chungu Aina ya Carpenter

Mdudu huyu mdogo anahitaji kujisafisha ili aishi. Anatunzaje usafi wake?

Ngozi ya Chungu wa Sahara—Mwavuli Unaomkinga na Joto

Chungu wa rangi ya fedha ni mmoja kati ya viumbe wenye uwezo mkubwa wa kuvumilia joto kali. Ni nini kinachomwezesha kufanya hivyo?

Mzunguko wa Maisha ya Nyenje

Mzunguko wenye kustaajabisha wa maisha ya nyenje humaanisha kwamba kizazi kimoja cha wadudu hao hutokea mara moja tu kwa majuma machache kila baada ya miaka 13 au 17.

Mfumo wa Gia wa Panzi Anayeitwa Issus

Ni jambo la pekee sana kwa panzi huyo kuweza kuruka kwa kasi na kisha kuwa na uwezo wa kudhibiti.

Chembe za Neva za Nzige Zinazotambua Mwelekeo

Nzige wanaepukaje kugongana wanaposafiri katika kikundi?

Uwezo Mkubwa wa Kusikia wa Katididi

Masikio ya mdudu huyu mdogo yanafanya kazi kwa njia ileile kama ya masikio ya mwanadamu. Utafiti kuhusu mfumo huo wa pekee wa kusikia unaweza kusaidiaje katika sayansi na teknolojia ya leo?

Safari ya Kipepeo Anayeitwa Monarch​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Je, safari tata na yenye kustaajabisha ya kipepeo anayeitwa “monarch” inatoa uthibitisho kwamba alibuniwa?

Mabawa ya Kipepeo

Bawa la kipepeo aina ya Blue Morpho huonekana kuwa laini lakini lina magamba madogo yanayoweza kuonekana tu kwa kutumia darubini. Yana kusudi gani?

Bawa la Kipepeo Linalofyonza Mwangaza

Mambo mengi yanahusika zaidi ya rangi nyeusi ya mabawa ya vipepeo fulani.

Umbo la V la Kipepeo Anayeitwa Cabbage White—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ni nini kuhusu kipepeo wa cabbage white kinachofanya mainjinia waboreshe muundo wa vifaa vya kutokeza nishati ya jua?

Uwezo wa Ajabu wa Kusikia wa Nondo Anayeitwa Greater Wax Moth

Akitumia sikio lake lisilo tata, anaweza kusikia kwa njia nzuri zaidi kuliko mnyama yeyote.

Vipokezi vya Mbawakawa Anayeitwa Black Fire

Wahandisi na watafiti wanaweza kujifunza nini kutokana na mbawakawa huyo mwenye uwezo wa ajabu?

Ustadi wa Kusafiri wa Mbawakawa

Mbawakawa hutumia mfumo gani ili kusafiri? Na wanadamu wanaweza kujifunza nini kutokana na mdudu huyo?

Taa ya Kimulimuli Anayeitwa Photuris

Mdudu huyu mdogo amewasaidiaje wanasayansi kutengeneza balbu zinazotumiwa katika vifaa vingi vya kielektroniki kutoa mwangaza mwingi zaidi?

Haltere ya Nzi

Umewahi kujiuliza kwa nini si rahisi kuwakamata nzi? Soma makala hii ili uone wanasayansi wamegundua nini.

Uwezo wa Kuruka wa Nzi-Tunda

Nzi-tunda anaweza kujizungusha kwa kasi angani kuliko jinsi ndege za kivita zinavyofanya.

Buibui

Uwezo Hafifu wa Kuona wa Buibui Anayeruka

Buibui huyu anapimaje umbali hususa? Kwa nini watafiti wangependa kuiga mbinu anayotumia?

Gundi ya Kipekee ya Buibui

Utando wa buibui unaweza kuwa wenye nguvu au dhaifu inapohitajika. Chunguza jinsi anavyofanya hivyo na kwa nini.

Mimea

Ngozi ya Tunda la Balungi Inayoweza Kuhimili Mshtuko​—Je, Ni Kazi Ubuni?

Wanasayansi watatumiaje uwezo wa tunda la Balungi kuhimili mshtuko?

Mng’ao wa Bluu wa Beri aina ya Pollia

Beri aina ya Pollia haina rangi ya bluu, lakini ina mwonekano wa bluu unaong’aa sana kuliko mmea mwingine wowote. Ni nini hutokeza mng’ao huo wa bluu?

Uwezo wa Kuelea wa Mbegu ya Shunga Pwapwa​—Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Uwezo wa kuelea wa mbegu ya shunga pwapwa unazidi mara nne uwezo wa parachuti, na mbegu hiyo ina uwezo mkubwa zaidi wa kustahimili upepo.

Uwezo wa Mimea wa Kufanya Makadirio

Watafiti wamegundua kwamba mharadali una uwezo wa pekee.

Vitu Visivyoonekana kwa Macho

Uwezo wa DNA wa Kuhifadhi Habari

DNA imesemekana kuwa “kifaa bora zaidi cha kuhifadhi habari.” Soma uone sababu.

Vijidudu Vinavyomeng’enya Mafuta

Njia hiyo ya kusafisha mafuta yaliyomwagika ilifanikiwa kwa kiasi gani ukilinganisha na teknolojia inayotumiwa sasa?