Hamia kwenye habari

Eritrea

 

Mashahidi wa Yehova Nchini Eritrea

  • Mashahidi Walio Gerezani kwa Sababu ya Imani Yao​—39

2018-05-07

ERITREA

Mashahidi Wawili Wazee Wamekufa Wakiwa Gerezani Nchini Eritrea

Habtemichael Tesfamariam na Habtemichael Mekonen walikufa wakiwa katika gereza la Mai Serwa mwanzoni mwa mwaka wa 2018. Wote walifungwa isivyo haki kwa sababu ya imani yao na walikabili hali mbaya katika gereza kwa karibu miaka kumi.

2016-11-03

ERITREA

Mateso ya Mashahidi wa Yehova Nchini Eritrea Yakaziwa Uangalifu wa Pekee Kimataifa

Tume ya Uchunguzi wa Haki za Kibinadamu Nchini Eritrea (COIE) imesema kwamba “kuwatesa watu kwa misingi ya kidini na ya kikabila” ni ‘uhalifu dhidi ya binadamu.’

2014-11-04

ERITREA

Miaka Ishirini ya Ufungwa Nchini Eritrea—Hali Hii Itaendelea Hadi Lini?

Mashahidi watatu wa kiume wamefungwa kwa miaka 20 bila kufunguliwa mashtaka yoyote. Wengine wengi wako gerezani. Je, Eritrea itaacha kuwatesa watu kwa sababu za kidini?