Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Nitatii Vikumbusho Vyako

Nitatii Vikumbusho Vyako

Pakua:

  1. 1. Nifanyeje? N’tazame wapi?

    Labda si vibaya, labda inafaa.

    Labda si lazima nikatae vyote.

    Lipi lanifaa mimi? Niende wapi?

    Nifanyeje? Niwaze nini?

    Labda inaweza ikawa hatari​—

    Ipo mitego na majaribu mengi.

    Oh, sijui nifanyeje? Yehova, ninakusihi.

    (KORASI)

    Vikumbusho vyako, navipenda sana.

    Nitavithamini siku zangu zote.

    Nisaidie kulielewa Neno lako vizuri.

  2. 2. Najua matakwa. Nitauliza.

    Singependa kumkosea yeyote,

    Hata hivyo, huenda kuna madhara.

    Najua linalofaa​—⁠jema, bila shaka.

    (KORASI)

    Vikumbusho vyako, navipenda sana.

    Vyasaidia kupambanua mambo.

    Niwezeshe kuelewa Neno lako, na kulishika.

    (KORASI)

    Vikumbusho vyako, Navipenda sana.

    Vyaniwezesha kuona waziwazi.

    Nalisoma Neno lako sikuzote.

    Uko pamoja nami Ee mweza-yote.

    Niwezesha kuelewa Neno lako na kulishika.