Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Twavutiwa na Maajabu Yako

Twavutiwa na Maajabu Yako

Pakua:

  1. 1. Ni asubuhi ndege wanaimba.

    Nazo nyota zatoweka, kwapambazuka.

    jua maridadi laangaza.

    Na upepo mwanana, unavutia.

    (KIBWAGIZO)

    Naimba “Ee Yah, Yehova Mungu

    Kazi zako ni za Ajabu!” Sisi ni nani?

    Yashangaza, Unatujali!

    (KORASI)

    Kwa kazi zako, Ninakwimbia.

    Kwa kazi zako, Ninakwimbia.

    Nakwimbia.

  2. 2. U’mbaji wako ni wa Ajabu!

    Usiku na Mchana, unakutukuza.

    Kutoka pande zote za dunia,

    Vyote vyenye pumzi, Na vikusifu.

    (KIBWAGIZO)

    Naimba “Ee, Yah, Yehova Mungu,

    Kazi zako ni za Ajabu!” Sisi ni nani?

    Yashangaza, Unatujali!

    (KORASI)

    Kwa kazi zako, Ninakwimbia.

    Kwa kazi zako, Ninakwimbia.

    Nakwimbia.

    (DARAJA)

    Tutazamapo kwa macho yetu,

    Twajifunza mengi kuhusu sifa zako ‘we.

    (KIBWAGIZO)

    Naimba “Ee, Yah, Yehova Mungu,

    Kazi zako ni za Ajabu!” Sisi ni nani?

    Yashangaza, Unatujali!

    (KORASI)

    Kwa kazi zako, Ninakwimbia.

    Kwa kazi zako, Ninakwimbia.

    Kwa kazi zako, Ninakwimbia.

    Kwa kazi zako, Ninakwimbia.

    Kwa kazi zako, Ninakwimbia.

    Nakwimbia.