Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Jifunze kwa Makosa Yako

Jifunze kwa Makosa Yako

Pakua:

  1. 1. Ulimwenguni kote,

    Hakuna yeyote

    Anayesema,

    “Sijawahi kujikwaa.”

    Na sasa ni wewe,

    Ila usife moyo:

    Umejifunza somo,

    Kubali msaada wa Mungu.

    (KORASI)

    Simama inuka.

    Ujirekebishe.

    Simama; jifunze.

    Kwa makosa yako.

    Mshike; mkono.

    Mungu akuinue.

    Uwe na hakika:

    Utakuwa imara

    Ukirekebisha.

  2. 2. Siku nyingine mpya,

    Bado una uchungu.

    Sahau ya zamani.

    Tazama mbele tu.

    Tafakari hayo,

    Usali kwa Yehova.

    Na atakuongoza,

    Neno lake litakupa nguvu.

    (KORASI)

    Simama inuka.

    Ujirekebishe.

    Simama; jifunze.

    Kwa makosa yako.

    Mshike; mkono.

    Mungu akuinue.

    Uwe na hakika:

    Utakuwa imara.

    (DARAJA)

    Na Yehova anasema

    Usahau ya zamani.

    Upendo wake washinda moyo wetu.

    Pata somo.

    (KORASI)

    Simama inuka.

    Ujirekebishe.

    Simama; jifunze.

    Kwa makosa yako.

    Mshike; mkono.

    Mungu akuinue.

    Uwe na hakika:

    Utakuwa imara

    Ukirekebisha.

    Ukirekebisha.