Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Tuna Nguvu Pamoja

Tuna Nguvu Pamoja

Pakua:

  • (UTANGULIZI)

    Tangazia ndugu wote!

    Tangaza wasikie!

  1. 1. Tuna imani, moja.

    Popote tupatikanapo.

    Tunayo lugha safi,

    Tunamsifu Mungu kwa shangwe.

    (KIBWAGIZO)

    Tunapopatwa,

    Na matatizo.

    Twaonyeshana upendo.

    (KORASI)

    Pamoja, hakika, tumeunganishwa.

    Pamoja, hakika, sisi ni imara.

    Pamoja, tunasonga mbele daima.

    Bega kwa bega tuko pamoja, sisi ni imara.

  2. 2. Ulimwenguni; kote.

    Japokuwa hatufanani.

    Twadumisha amani,

    Kwa utukufu wa Mungu wetu.

    (KIBWAGIZO)

    Kila mahali,

    Tunao ndugu

    Bado sisi twapendana.

    (KORASI)

    Pamoja, hakika, tumeunganishwa.

    Pamoja, hakika, sisi ni imara.

    Pamoja, tunasonga mbele daima.

    Bega kwa bega tuko pamoja, sisi ni imara.

    Pamoja, hakika, pamoja.

    (KORASI)

    Pamoja, hakika, tumeunganishwa.

    Pamoja, hakika, sisi ni imara.

    Pamoja, tunasonga mbele daima.

    Bega kwa bega tuko pamoja, sisi ni imara.

    Sisi ni imara.

    Sisi ni imara.