Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Najua Yehova Yuko Nami

Najua Yehova Yuko Nami

Pakua:

  1. 1. Niliamka na kujiandaa.

    Nikatoa sala na kuondoka.

    Nahubiri japo, ninazuiwa.

    Ninamtii Mungu kwanza.

    (KORASI)

    Utumishi waniburudisha, nina amani.

    Yehova yuko nami na sitahofu.

    Yehova yuko nami na sitahofu.

  2. 2. Jioni nilitafakari mengi,

    Mtu aliyependezwa sana.

    Ninasali ili nimwone tena.

    Atafurahi kujua ukweli.

    (KORASI)

    Utumishi waniburudisha, nina amani.

    Yehova yuko nami na sitahofu.

    Yehova yuko nami na sitahofu.

    (DARAJA)

    Ni kama moto moyoni mwangu,

    Nitatangaza; jina lako.

    Nitatangaza kwa bidii,

    Nitasonga mbele mpaka mwisho.

    Na ndugu zangu wanapambana,

    Nitaimarisha imani.

    Nitamsifu, Yehova kwanza,

    Nchi mpya iko karibu.

  3. 3. Na usiku huu nilalapo,

    Namshukuru sana Yehova.

    Sijui kesho itakuaje,

    Ila sitakuwa peke yangu.

    (KORASI)

    Utumishi waniburudisha, nina amani.

    Yehova yuko nami na sitahofu.

    Yehova yuko nami na sitahofu.