Ishi Milele
Pakua:
1. Kwa kweli, si rahisi—
Kuishi tofauti—
Na kutenda mambo mema.
(KIBWAGIZO)
Na Yehova atuambia: Tuache ulimwengu.
Anaahidi Paradiso.
(KORASI)
Simama; imara.
Yehova yuko nawe; kukupa nguvu.
Sali kwa bidi’
Ushinde hali ngumu katika njia.
Usiwaze leo; ishi milele.
2. Watu watakusifu—
Kukweza jina lako,
Ufanywe mashuhuri.
(KIBWAGIZO)
Usifuate upepo, mtegemee Yehova.
Anaahidi Paradiso.
(KORASI)
Simama; imara.
Yehova yuko nawe; kukupa nguvu.
Sali kwa bidi’
Ushinde hali ngumu katika njia.
Usiwaze leo; ishi milele.
(KORASI)
Simama; imara.
Yehova yuko nawe; kukupa nguvu.
Sali kwa bidi’
Ushinde hali ngumu katika njia.
Usiwaze leo; ishi milele.