Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Hatuachi

Hatuachi

Pakua:

  1. 1. Ishara ni wazi;

    Mwisho wakaribia.

    Watajuaje la kufanya

    Bila kuambiwa?

  2. 2. Hatufichi kweli.

    Hatutahofu kamwe.

    Tumwombe Mungu achochee,

    Kweli ndani yetu.

    (KORASI)

    Tukiwa na bidi,

    Tutawajulisha.

    Kamwe hatuachi.

    Twatangaza ujumbe

    Wa habari njema.

    Kamwe hatuachi.

    Hatuachi.

  3. 3. Na tujitahidi.

    Kabla siku ifike.

    Tunatangaza, kwa bidii;

    Jina la Yehova.

    (KORASI)

    Tukiwa na bidi,

    Tutawajulisha.

    Kamwe hatuachi.

    Twatangaza ujumbe

    Wa habari njema.

    Kamwe hatuachi.

    Hatuachi.

    (DARAJA)

    Tuchochee moto; chochea sana.

    Siku ya Yehova; i karibu.

    Songa mbele.

    (KORASI)

    Tukiwa na bidi’,

    Tutawajulisha.

    Kamwe hatuachi.

    Twatangaza ujumbe

    Wa habari njema.

    Kamwe hatuachi.

    Hatuachi.

    Hatuachi.

    Hatuachi.