Faharisi ya Buku la 84 la Amkeni!
Faharisi ya Buku la 84 la Amkeni!
AFYA NA TIBA
Bafu la Mvuke, 7/22
Kijiti cha Kusugua Meno, 9/8
Kisukari, 5/8
Kufanya Mimba Yako Iwe Salama Zaidi, 1/8
Kulala, 3/22
Kunenepa Kupita Kiasi, 4/8
Kushuka Moyo Baada ya Kujifungua, 6/8
Maamuzi Yanayoathiri Afya Yako, 8/22
Magonjwa Yanayoambukizwa na Wadudu, 5/22
Maji, 6/8
Mimea Hutumiwa Kutengeneza Dawa, 12/22
Mitishamba, 12/22
Mtoto Anapopata Homa, 12/8
Njia Sita za Kutunza Afya, 9/22
Sabuni Ni “Chanjo,” 11/22
Ugonjwa wa Mfumo wa Neva, 11/22
Unahitaji Usingizi! 1/22
Utapiamlo, 2/22
Viini Sugu, 10/22
DINI
Hekaya Iliyotia Mizizi (Krismasi), 5/8
Jina la Mungu Kwenye Jumba la Kifalme (Slovakia), 12/8
Jina la Yehova Huko Pasifiki, 10/22
Kitabu Kinachopinga Vitabu Vingine (Kanisa Katoliki), 9/8
Mgogoro Kati ya Galileo na Kanisa, 4/22
“Mwaka wa Biblia,” 9/22
“Yehova Ndiye Hunifariji” (Mfalme Mswisi), 6/22
MAHUSIANO YA WANADAMU
Dhuluma, 8/22
Kijana Wako Akitumia Dawa za Kulevya, 4/8
Maisha ya Utotoni, 4/22
Mawasiliano, 9/22
Siri ya Kuwa na Ndoa Yenye Mafanikio, 10/8
“Wanawake Wanastahili Staha,” 10/8
Watoto Wanahitaji Nini Kutoka kwa Wazazi? 12/22
MAMBO MENGINE
Hesabu Huwafaidi Watu Wote, 5/22
Je, Wajua? 2/8, 4/8, 6/8, 8/8, 10/8, 12/8
Kuabiri kwa Kutegemea Maji, Anga, na Upepo, 8/22
Kuwachora Watu Maarufu wa Wahalifu (mchoraji wa mahakamani), 4/8
Kuzoea Simu za Mkononi “Kupita Kiasi,” 1/8
Magari ya Zamani na ya Kisasa, 1/8
Mawaidha Kutoka kwa Rubani Stadi, 7/8
Mchanga, 5/8
Mitindo, 9/8
Msiba Baharini na Uharibifu wa Pwani (umwagikaji wa mafuta), 8/22
Mwisho wa Juma, 4/8
Njia ya Kaskazini-Magharibi, 11/22
Pata Habari Kamili (Internet), 2/8
Picha Zilizotengenezwa kwa Mawe, 10/8
Tabasamu, 1/22
“Usisahau Kubeba Mwavuli!” 7/22
Viatu Vinakutoshea? 3/8
Vinu vya Upepo, 10/8
Wanadamu Waiga Usanii wa Muumba (balbu), 11/22
MAONI YA BIBLIA
Dhambi Isiyosameheka, 2/8
Epuka Usemi Unaoumiza, 6/8
Inamaanisha Nini Kupenda Vitu vya Kimwili? 4/8
Iwapo Watu wa Ukoo Si wa Dini Yako, 11/8
Je, Mungu Hutupatia Utajiri? 9/8
Je, Ni Lazima Wakristo Wawe Maskini? 1/8
Je, Tuwachukie Watu wa Jamii Nyingine? 8/8
Je, Umoja wa Kikristo Ni Kufanana? 5/8
Je, Wakristo Wanapaswa Kupumbazwa Akili? 7/8
Ngono Isiyo ya Asili, 10/8
Uhuru wa Kuamua, 3/8
Unawezaje Kushinda Tamaa Mbaya? 12/8
MASHAHIDI WA YEHOVA
Aliamua Kumtii Mungu (A. Gargallo, Hispania), 3/8
Alifanikiwa Kuliko Alivyotarajia (Ujerumani), 5/8
Baada ya Milipuko (Ekuado), 9/8
Insha Yake Ilivutia Kwelikweli (mwanafunzi), 9/8
Kitu Kisichoweza Kuharibiwa na Dhoruba (kutoa msaada), 8/8
Kiwanda cha Kemikali Kilipolipuka (Ufaransa), 3/22
Maelezo Mafupi Kuhusu Kikundi cha Kidini (ripoti ya mwanafunzi), 8/22
Mafuriko Huko Caucasus, 10/22
Mahakama ya Juu ya Marekani Yatetea Uhuru wa Kusema, 1/8
Makusanyiko ya “Mtukuzeni Mungu,” 5/22
Siku za Wageni Zilizofana Sana (Mexico), 12/22
Siku za Wageni Zilizovutia Wengi (Ujerumani), 3/8
‘Tunamtii Mungu Kuliko Wanadamu’ (michoro), 1/8
Upendo Nyakati za Taabu (Nigeria), 2/22
Wanafaidi Jamii (Majumba ya Ufalme), 8/8
MASIMULIZI YA MAISHA
Dini Yangu Ilikuwa Sayansi (K. Tanaka), 9/22
Imani Yajaribiwa Ulaya Wakati wa Wanazi (A. Letonja), 2/8
Jinsi Maisha Yangu Yalivyobadilika Nilipojeruhiwa (S. Ombeva), 4/22
Jinsi Mahitaji Yangu ya Kiroho Yalivyotoshelezwa (L. Moussanett), 6/22
Malezi Yangu Yalinisaidia Niishi Maisha Yenye Kusudi (E. Pandachuk), 10/22
Mavazi na Mapambo Yalinizuia Kufanya Maendeleo (E. Brumbaugh), 12/22
Nilijaribu Kuwatumikia Mabwana Wawili (K. Payne), 7/8
Nilikubali Maoni ya Mungu Kuhusu Damu (Y. Aizawa), 12/8
Niliwekwa Huru Kutokana na Minyororo ya Chuki (J. Gomez), 1/8
MATUKIO NA HALI ZA ULIMWENGU
Dhuluma, 8/22
Faragha, 1/22
Hali ya Hewa, 8/8
Je, Mafuta Yatakwisha? 11/8
Je, Tunaweza Kuokoa Mazingira? 11/22
Je, Unalipa Kodi Nyingi Sana? 12/8
Kijana Wako Akitumia Dawa za Kulevya, 4/8
Maadili, 6/8
Matatizo ya Wakulima, 10/8
Mauaji ya Kijeuri, 7/8
Ponografia, 7/22
Ukahaba wa Watoto, 2/8
Utapiamlo, 2/22
NCHI NA WATU
‘Barabara Iliyoinuka Zaidi’ (New Zealand), 5/22
Barcelona (Hispania), 7/8
Desturi ya Piñata (Mexico), 9/22
Fumbo la Cahokia (Marekani), 3/8
Hifadhi ya Kitaifa ya Paracas (Peru), 12/8
Kuchunguza Sauti za Angani (Australia), 6/8
Kula kwa Mikono (Ghana), 4/8
Kusafiri kwa Meli ya Matete! (Ziwa Titicaca), 1/22
Kuzoa Chumvi kwa Jua na Upepo (Ufaransa), 2/8
Kuzuru Yerusalemu Mjini Quebec, 9/8
Madini Yanayometameta (Mexico), 8/22
Madrid (Hispania), 6/22
Mafuriko Huko Caucasus, 10/22
Mbilikimo, 11/8
Mbuga ya Kitaifa ya Nairobi (Kenya), 6/8
Methali za Waakan (Ghana), 3/22
Mnara wa Bosporus, 3/8
Mto Amazon—Unawategemeza Mamilioni, 11/8
Mto Ulipogeuza Mkondo (Mississippi), 11/22
“Mvua Hainyeshi Kamwe Huku Lima” (Peru), 5/22
“Ngoma Inayotoa Milio Elfu Moja” (Afrika), 5/8
Ondol Ni Njia ya Pekee ya Kupasha Nyumba Joto (Korea), 8/8
Paniolo—Wachungaji wa Ng’ombe wa Hawaii, 4/8
Prague (Jamhuri ya Cheki), 11/8
Safari Ndefu Zaidi kwa Basi la Umeme (Ukrainia), 3/22
Safari ya Kupendeza Baharini (Norway), 5/22
Seville (Hispania), 7/22
Siria, 2/8
St. Petersburg (Urusi), 8/22
Tahiti na Jitihada za Kutafuta Paradiso, 8/8
Tour de France, 7/8
Ua Unaoathiri Hali ya Hewa (Australia), 2/8
Visima vya Ajabu (Rasi ya Yucatán, Mexico), 2/22
Ziwa la Lami (Trinidad na Tobago), 10/8
SAYANSI
Hisi, 3/8
Kuchunguza Sauti za Angani, (darubini) 6/8
Masikio ya Wadudu Wadogo, 4/22
Mgogoro Kati ya Galileo na Kanisa, 4/22
VIJANA HUULIZA
Je, Nitiwe Alama ya Chanjo? 9/22
Kuiba Mtihani, 1/22
Kutafuta Ukamilifu, 7/22, 8/22
Nawezaje Kufaulu Kusema Mbele ya Watu? 12/22
Nawezaje Kujijengea Jina Bila Kuwategemea Ndugu Zangu? 11/22
Nawezaje Kutambuliwa Bila Kuwategemea Wazazi? 10/22
Nifanyeje Msiba Ukitokea? 6/22
Video za Muziki, 2/22, 3/22
Wazazi Walezi, 4/22, 5/22
WANYAMA NA MIMEA
Chakula Kutoka Shamba Lako, 12/8
Chavuo—Balaa au Muujiza? 7/22
Dawa ya Wadudu ya Nyani, 8/22
Faida za Misitu, 12/22
Hisi, 3/8
Jeshi Lasonga Mbele! (siafu), 6/8
Kiboko, 5/8
Kimelea Mwenye Manufaa, 10/22
Korongo, 9/22
Kundi Kubwa Lahama (nyumbu), 2/22
Masikio ya Wadudu Wadogo, 4/22
Mawasiliano, 9/22
Mbegu Kubwa Zaidi Ulimwenguni, 10/22
Mbuga ya Kitaifa ya Nairobi, 6/8
Mimea Hutumiwa Kutengeneza Dawa, 12/22
Minyoo, 5/8
Misitu ya Mvua, 6/22
Mnyama Mdogo Mwenye Miiba (nungunungu), 4/22
Mojawapo ya Matunda Muhimu Zaidi (nazi), 3/22
Ndege Wenye Rangi ya Waridi (flamingo), 1/22
Njugu, 4/22
Nyangumi wa Kijivu, 9/8
Okidi, 9/8
Panyabuku, 1/8
Shamba la Migomba, 3/22
Tambili Ni Nazi Bora Zaidi, 7/8
Tausi, 6/22, 11/22
Tumbo Lake Humwokoa! (bunju mwenye miiba), 3/22
Tunda la Manjano Lenye Historia ya Kupendeza (shelisheli), 2/22
Vitu Maridadi Kutoka Ufuoni (makombe), 1/22
Wadudu Hatari Wanaouma (viwavi), 4/8
Wadudu Wasumbufu Wanaosafisha Maji (kome), 7/22
Zawadi ya Manjano Kutoka Kaskazini (cloudberry), 11/8