WIMBO NA. 9 Yehova Ni Mfalme Wetu! Chagua Rekodi ya Sauti Yehova Ni Mfalme Wetu! Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 97:1) 1. Mshangilieni Yehova. Mbingu na dunia zamtukuza. Nyimbo za shangwe na tumwimbie Mungu. Kazi zake tuzitangaze. (KORASI) Mbingu zifurahi, na dunia pia, Sasa Yehova ni Mfalme! Mbingu zifurahi, na dunia pia, Sasa Yehova ni Mfalme! 2. Tangaza utukufu wake. Yehova Mungu wetu huokoa. Astahili sifa, Yehova Mfalme, Mbele zake tunainama. (KORASI) Mbingu zifurahi, na dunia pia, Sasa Yehova ni Mfalme! Mbingu zifurahi, na dunia pia, Sasa Yehova ni Mfalme! 3. Yah anatawala kwa haki. Amemtawaza Kristo Mwanaye. Miungu yote imwinamie yeye, Kwa kuwa astahili sifa. (KORASI) Mbingu zifurahi, na dunia pia, Sasa Yehova ni Mfalme! Mbingu zifurahi, na dunia pia, Sasa Yehova ni Mfalme! (Ona pia 1 Nya. 16:9; Zab. 68:20; 97:6, 7.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Yehova Ni Mfalme Wetu! ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Yehova Ni Mfalme Wetu! (Wimbo Na. 9) Lugha ya Alama ya Tanzania Yehova Ni Mfalme Wetu! (Wimbo Na. 9) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016809/sign/wpub/1102016809_sign_sqr_xl.jpg sjj 9