WIMBO NA. 19 Mlo wa Jioni wa Bwana Chagua Rekodi ya Sauti Mlo wa Jioni wa Bwana Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Mathayo 26:26-30) 1. Yehova uliye mbinguni, Ni usiku wa pekee! Usiku huu kale, ulionyesha, Upendo, haki, hekima. Mwana-Kondoo wa Pasaka, Kawalinda watu wako. Karne nyingi baadaye Kristo Yesu, Akatoa uhai wake. 2. Mkate huu na divai, Vinatukumbusha mengi. Ulitoa zawadi ya Mwana wako, Ilikugharimu sana. Twafanya Ukumbusho huu; Kumkumbuka Mwanao; Jinsi kifo chake kilivyoandaa, Ukombozi kutoka kifo. 3. Mbele zako tumekutana, Umetualika kwako. Twakusifu wewe kwa upendo wako, Twaheshimu jina lako. Ukumbusho wakutukuza, Watuchochea moyoni. Tufuate hatua za Kristo Yesu, Kisha uzima wa milele. (Ona pia Luka 22:14-20; 1 Kor. 11:23-26.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Mlo wa Jioni wa Bwana ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Mlo wa Jioni wa Bwana (Wimbo Na. 19) Lugha ya Alama ya Tanzania Mlo wa Jioni wa Bwana (Wimbo Na. 19) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016819/sign/wpub/1102016819_sign_sqr_xl.jpg sjj 19