WIMBO NA. 22 Ufalme Umesimamishwa—Na Uje! Chagua Rekodi ya Sauti Ufalme Umesimamishwa—Na Uje! Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Ufunuo 11:15; 12:10) 1. Yehova Mungu Mkuu Mungu wa Milele Umemtawaza Kristo Awe mtawala. Ufalme umezaliwa; Utatawala dunia. (KORASI) Sasa kumekuwa Wokovu, nguvu, Ufalme. Umesimamishwa. Twasali: ‘Ufalme Uje’ 2. Karibuni Ibilisi Ataondolewa. Ingawa ole zazidi, Hatuko gizani. Ufalme umezaliwa; Utatawala dunia. (KORASI) Sasa kumekuwa Wokovu, nguvu, Ufalme. Umesimamishwa. Twasali: ‘Ufalme Uje’ 3. Malaika wa mbinguni Wanashangilia. Shetani katupwa chini; Mbingu zafurahi, Ufalme umezaliwa; Utatawala dunia. (KORASI) Sasa kumekuwa Wokovu, nguvu, Ufalme. Umesimamishwa. Twasali: ‘Ufalme Uje’ (Ona pia Dan. 2:34, 35; 2 Kor. 4:18.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Ufalme Umesimamishwa—Na Uje! ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Ufalme Umesimamishwa—Na Uje! (Wimbo Na. 22) Lugha ya Alama ya Tanzania Ufalme Umesimamishwa—Na Uje! (Wimbo Na. 22) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016822/sign/wpub/1102016822_sign_sqr_xl.jpg sjj 22