WIMBO NA. 28 Kuwa Rafiki ya Yehova Chagua Rekodi ya Sauti Kuwa Rafiki ya Yehova Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 15) 1. Nani rafikiyo? Akaaye kwako? Nani ambaye wamwamini? Nani akujua? Washikao Neno, Wakuaminio, Watenda haki na walio washikamanifu. 2. Nani awezaye kukukaribia? Umpendaye na ambaye wamjua jina? Wanaokusifu, Wanaokutii, Wote wa’minifu moyoni, Wasemao kweli. 3. Twakumiminia yaliyo moyoni. Unatuvuta, Watupenda, Nawe watutunza. Rafikizo wewe, tunataka tuwe. Wewe ni Rafiki mkuu, hakuna mwingine. (Ona pia Zab. 139:1; 1 Pet. 5:6, 7.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kuwa Rafiki ya Yehova ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kuwa Rafiki ya Yehova (Wimbo Na. 28) Lugha ya Alama ya Tanzania Kuwa Rafiki ya Yehova (Wimbo Na. 28) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016828/sign/wpub/1102016828_sign_sqr_xl.jpg sjj 28