WIMBO NA. 35 “Mhakikishe Mambo Muhimu Zaidi” Chagua Rekodi ya Sauti “Mhakikishe Mambo Muhimu Zaidi” Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Wafilipi 1:10) 1. Twahitaji utambuzi, Kujua mambo yafaayo, Ambayo ni muhimu zaidi Tupasayo kufanya! (KORASI) Penda mema; Mungu wetu Afurahi. Tuchukie mabaya. Tusali Na kufanya Yaliyo muhimu zaidi. 2. Nini kingine chenye maana Kuliko kuhubiri? Na kutafuta kondoo wa Mungu waliopotea? (KORASI) Penda mema; Mungu wetu Afurahi. Tuchukie mabaya. Tusali Na kufanya Yaliyo muhimu zaidi. 3. Tukifanya yaliyo muhimu, Tutapata uradhi. Na amani ya akili Ipitayo zote tupate. (KORASI) Penda mema; Mungu wetu Afurahi. Tuchukie mabaya. Tusali Na kufanya Yaliyo muhimu zaidi. (Ona pia Zab. 97:10; Yoh. 21:15-17; Flp. 4:7.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki “Mhakikishe Mambo Muhimu Zaidi” ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ “Mhakikishe Mambo Muhimu Zaidi” (WimboNa. 35) Lugha ya Alama ya Tanzania “Mhakikishe Mambo Muhimu Zaidi” (WimboNa. 35) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016835/sign/wpub/1102016835_sign_sqr_xl.jpg sjj 35