Ona video zinazopatikana

Ona habari zilizo ndani

WIMBO 50

Sala Yangu ya Kujitoa kwa Mungu

Sala Yangu ya Kujitoa kwa Mungu

(Matayo 22:37)

  1. 1. Nakupa moyo wangu

    Ili nipende kweli.

    Pia sauti yangu

    Ikuimbie Bwana.

  2. 2. Baba nakupatia

    Nguvu na mali yangu.

    Pia mikono yangu

    Ifanye kazi yako.

  3. 3. Yehova ninatoa

    Maisha yangu yote;

    Baba unikubali,

    Nitakutumikia.