Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

WIMBO NA. 72

Kutangaza Ukweli wa Ufalme

Kutangaza Ukweli wa Ufalme

(Matendo 20:20, 21)

  1. 1. Hapo mwanzo hatukuwa

    Na ujuzi wa Kikristo.

    Yehova akatupa,

    Ukweli wa Neno Lake.

    Tukajua mapenziye,

    Kutumika kwa Ufalme,

    Kusifu Mungu wetu,

    Na jina lake kulitukuza.

    Twajulisha watu wote,

    Milangoni na njiani.

    Ile kweli twafundisha;

    Inayotuweka huru.

    Duniani kote kote,

    Ibada inapanuka,

    Tufanye kazi yake,

    Hadi Mungu aseme yatosha.