Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

WIMBO NA. 79

Wafundishe Kusimama Imara

Wafundishe Kusimama Imara

(Mathayo 28:19, 20)

  1. 1. Ni shangwe kufunza kondoo

    Mapenzi ya Yehova.

    Wawe na nguvu za kiroho.

    Imara wasimame.

    (KORASI)

    Ee Yehova, twakuomba

    Twakusihi uwatunze

    Katika jina la Yesu: Twakuomba

    Waweze kuwa imara.

  2. 2. Walipopata majaribu

    Uliwaimarisha.

    Nasi tukawategemeza

    Ili wasonge mbele.

    (KORASI)

    Ee Yehova, twakuomba

    Twakusihi uwatunze

    Katika jina la Yesu: Twakuomba

    Waweze kuwa imara.

  3. 3. Twasali wawe na imani

    Kwako Yehova Mungu.

    Watii na kuvumilia.

    Pigano walishinde.

    (KORASI)

    Ee Yehova, twakuomba

    Twakusihi uwatunze

    Katika jina la Yesu: Twakuomba

    Waweze kuwa imara.