WIMBO NA. 79 Wafundishe Kusimama Imara Chagua Rekodi ya Sauti Wafundishe Kusimama Imara Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Mathayo 28:19, 20) 1. Ni shangwe kufunza kondoo Mapenzi ya Yehova. Wawe na nguvu za kiroho. Imara wasimame. (KORASI) Ee Yehova, twakuomba Twakusihi uwatunze Katika jina la Yesu: Twakuomba Waweze kuwa imara. 2. Walipopata majaribu Uliwaimarisha. Nasi tukawategemeza Ili wasonge mbele. (KORASI) Ee Yehova, twakuomba Twakusihi uwatunze Katika jina la Yesu: Twakuomba Waweze kuwa imara. 3. Twasali wawe na imani Kwako Yehova Mungu. Watii na kuvumilia. Pigano walishinde. (KORASI) Ee Yehova, twakuomba Twakusihi uwatunze Katika jina la Yesu: Twakuomba Waweze kuwa imara. (Ona pia Luka 6:48; Mdo. 5:42; Flp. 4:1.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Wafundishe Kusimama Imara ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Wafundishe Kusimama Imara (Wimbo Na. 79) Lugha ya Alama ya Tanzania Wafundishe Kusimama Imara (Wimbo Na. 79) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016879/sign/wpub/1102016879_sign_sqr_xl.jpg sjj 79