Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

WIMBO NA. 81

Maisha ya Painia

Maisha ya Painia

(Mhubiri 11:6)

  1. 1. Jua lachomoza, kunapambazuka.

    Macho ni mazito,

    Twasali kisha twaondoka

    Tabasamu nyingi, wanasikiliza.

    Hata wasiposikiliza,

    Hatuchoki kamwe.

    (KORASI)

    Ni maisha yetu;

    Tumeyachagua.

    Kufanya mapenzi ya Mungu

    Tutavumilia,

    Kuwe mvua, jua.

    Kwa kuwa twampenda sana Yehova.

  2. 2. Mwishoni mwa siku, jua linatua.

    Japo tumechoka

    Moyoni tunayo furaha.

    Ni maisha yetu, ya kujidhabihu.

    Yehova twashukuru,

    Kwa baraka zako nyingi.

    (KORASI)

    Ni maisha yetu;

    Tumeyachagua.

    Kufanya mapenzi ya Mungu

    Tutavumilia,

    Kuwe mvua, jua.

    Kwa kuwa twampenda sana Yehova.