WIMBO NA. 89 Sikiliza, Tii, Upate Baraka Chagua Rekodi ya Sauti Sikiliza, Tii, Upate Baraka Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Luka 11:28) 1. Kristo Yesu tukimsikiliza, Na kufanya aliyoagiza, Tutapata furaha na fanaka, Kwa kutii tupate baraka. (KORASI) Tii ubarikiwe. Mungu msikilize. Nawe utakuwa na furaha. Sikiliza, utii. 2. Maisha yetu ni kama majengo. Kwenye mwamba twaweza kujenga. Tumtii Kristo Yesu Kuhani, Tuwe na kusudi maishani. (KORASI) Tii ubarikiwe. Mungu msikilize. Nawe utakuwa na furaha. Sikiliza, utii. 3. Kama miti kando ya maji mengi, Izaavyo matunda kwa wingi. Tukitii Mungu kama wanaye, Uzima milele hatimaye. (KORASI) Tii ubarikiwe. Mungu msikilize. Nawe utakuwa na furaha. Sikiliza, utii. (Ona pia Kum. 28:2; Zab. 1:3; Met. 10:22; Mt. 7:24-27; Luka 6:47-49.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Sikiliza, Tii, Upate Baraka ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Sikiliza, Tii, Upate Baraka (Wimbo Na. 89) Lugha ya Alama ya Tanzania Sikiliza, Tii, Upate Baraka (Wimbo Na. 89) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016889/sign/wpub/1102016889_sign_sqr_xl.jpg sjj 89