WIMBO NA. 93 Bariki Kukutana Kwetu Chagua Rekodi ya Sauti Bariki Kukutana Kwetu Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Waebrania 10:24, 25) 1. Ee Yehova tubariki, Katika mikutano. Twakuomba uwe nasi; Utupe roho yako. 2. Kubali ibada yetu; Utufundishe Neno. Tuzoeze kuhubiri; Na kuwa na upendo. 3. Ewe Baba twakuomba Umoja na amani. Kwa maneno na matendo, tukweze Enzi yako. (Ona pia Zab. 22:22; 34:3; Isa. 50:4.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Bariki Kukutana Kwetu ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Bariki Kukutana Kwetu (Wimbo Na. 93) Lugha ya Alama ya Tanzania Bariki Kukutana Kwetu (Wimbo Na. 93) https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/e781f8601f/images/syn_placeholder_sqr.png sjj 93