WIMBO NA. 95 Nuru Inazidi Kuongezeka Chagua Rekodi ya Sauti Nuru Inazidi Kuongezeka Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Methali 4:18) 1. Kale manabii walitabiri Kristo tumaini la wote. Roho ya Yehova ilifunua, Masihi angewakomboa. Sasa Kristo Yesu anatawala Ishara zinaonyesha. Tuna pendeleo kujua hayo, Malaika huchungulia! (KORASI) Nuru inazidi kung’aa; Twatembea kwenye nuru. Yehova atufunulia; Aongoza njia zetu. 2. Yesu ametupa mtumwa wake, Anayetulisha kiroho. Na nuru ya kweli yaongezeka Inatuchochea mioyo. Njia yetu yaonekana wazi Twatembea kwenye nuru. Asante Yehova! Chanzo cha kweli, Asante kwa kutuongoza. (KORASI) Nuru inazidi kung’aa; Twatembea kwenye nuru. Yehova atufunulia; Aongoza njia zetu. (Ona pia Rom. 8:22; 1 Kor. 2:10; 1 Pet. 1:12.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Nuru Inazidi Kuongezeka ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Nuru Inazidi Kuongezeka (Wimbo Na. 95) Lugha ya Alama ya Tanzania Nuru Inazidi Kuongezeka (Wimbo Na. 95) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016895/sign/wpub/1102016895_sign_sqr_xl.jpg sjj 95