WIMBO NA. 97 Uhai Unategemea Neno la Mungu Chagua Rekodi ya Sauti Uhai Unategemea Neno la Mungu Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Mathayo 4:4) 1. Neno la Yehova Mungu, Hututegemeza. Hatuishi kwa mkate, Bali Neno Lake. Latupa amani, shangwe, na baraka nyingi. (KORASI) Hatuishi kwa Mkate; Bali Neno Lake. Latupa tuhitajiyo; Latutegemeza. 2. Neno linasimulia, Watu wa zamani. Wenye imani thabiti. Washikamanifu. Tusomapo kuwahusu, Tunatiwa moyo. (KORASI) Hatuishi kwa Mkate; Bali Neno Lake. Latupa tuhitajiyo; Latutegemeza. 3. Tusomapo Neno Lake, Twapata faraja. Matatizo yazukapo, Latupa hekima. Tuthamini tusomayo, Na tusikiayo. (KORASI) Hatuishi kwa Mkate; Bali Neno Lake. Latupa tuhitajiyo; Latutegemeza. (Ona pia Yos. 1:8; Rom. 15:4.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Uhai Unategemea Neno la Mungu ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Uhai Unategemea Neno la Mungu (Wimbo Na. 97) Lugha ya Alama ya Tanzania Uhai Unategemea Neno la Mungu (Wimbo Na. 97) https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/e781f8601f/images/syn_placeholder_sqr.png sjj 97