Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

WIMBO NA. 98

Maandiko​—⁠Yaliongozwa na Roho ya Mungu

Maandiko​—⁠Yaliongozwa na Roho ya Mungu

(2 Timotheo 3:16, 17)

  1. 1. Neno la Mungu ni nuru.

    Mungu twamshukuru.

    Tutii na kufaulu.

    Huwaweka watu huru.

  2. 2. Neno la Yehova Mungu,

    Latufunza matakwa.

    Hunyoosha mambo yote,

    Na kututia nidhamu.

  3. 3. Tusomapo Maandiko,

    Twaona badiliko.

    Nasi twapata hekima,

    Na zawadi ya uzima.