Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

WIMBO NA. 143

Endeleeni Kufanya Kazi, Kukesha, na Kusubiri

Endeleeni Kufanya Kazi, Kukesha, na Kusubiri

(Waroma 8:20-25)

  1. 1. Mweka majira, nyakati,

    Anayeitwa Yehova—

    Wakati wa kutetewa,

    Uko karibu sana.

    (KORASI)

    Endeleeni kufanya kazi,

    Kesheni na kusubiri,

    Baraka za Ufalme.

  2. 2. Wakati umeshawekwa,

    Mwana wake yu tayari.

    Kwa ajili ya pigano,

    Dhidi ya wapinzani.

    (KORASI)

    Endeleeni kufanya kazi,

    Kesheni na kusubiri,

    Baraka za Ufalme.

  3. 3. Japo sote twaugua,

    Tunasubiri kwa hamu.

    Ije siku ya Yehova,

    Tuachiliwe huru.

    (KORASI)

    Endeleeni kufanya kazi,

    Kesheni na kusubiri,

    Baraka za Ufalme.