WIMBO NA. 144 Kaza Macho Kwenye Zawadi! Chagua Rekodi ya Sauti Kaza Macho Kwenye Zawadi! Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (2 Wakorintho 4:18) 1. Watakapoona vipofu, Nao viziwi wasikie, Watoto watakapoimba, Amani, shangwe ziwepo, Wapendwa watafufuliwa, Na kuishi pasipo dhambi. (KORASI) Utayaona mambo hayo, Ukitazama zawadi. 2. Mbwa-mwitu, mwanakondoo Watakula nyasi pamoja, Naye mvulana mdogo, Atawaongoza wote. Hakutakuwa na machozi, Mwisho wa maumivu, hofu. (KORASI) Utayaona mambo hayo, Ukitazama zawadi. (Ona pia Isa. 11:6-9; 35:5-7; Yoh. 11:24.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kaza Macho Kwenye Zawadi! ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kaza Macho Kwenye Zawadi! (Wimbo Na. 144) Lugha ya Alama ya Tanzania Kaza Macho Kwenye Zawadi! (Wimbo Na. 144) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016944/sign/wpub/1102016944_sign_sqr_xl.jpg sjj 144