Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

SANDUKU LA KUFUNDISHIA LA 8B

Unabii Kumhusu Masihi

Unabii Kumhusu Masihi

1. “Yule Aliye na Haki ya Kisheria” (Ezekieli 21:25-27)

NYAKATI ZA MATAIFA (607 K.W.K.–1914 W.K.)

  1. 607 K.W.K.​—Sedekia ang’olewa mamlakani

  2. 1914 W.K.​—Yesu, yule aliye na “haki ya kisheria” ya kupokea Ufalme wa Kimasihi, awekwa kuwa Mfalme, na kuwa Mtawala na Mchungaji

Angalia sura ya 8, fungu la 12-15

2. “Mtumishi Wangu . . . Atawalisha na Kuwa Mchungaji Wao” (Ezekieli 34:22-24)

SIKU ZA MWISHO (1914 W.K.–BAADA YA HAR-MAGEDONI)

  1. 1914 W.K.​—Yesu, yule aliye na “haki ya kisheria” ya kupokea Ufalme wa Kimasihi, awekwa kuwa Mfalme, na kuwa Mtawala na Mchungaji

  2. 1919 W.K.​—Mtumwa mwaminifu na mwenye busara awekwa rasmi ili kuchunga kondoo wa Mungu

    Watiwa mafuta waaminifu waunganishwa chini ya Mfalme wa Kimasihi; baadaye wanaunganishwa na umati mkubwa

  3. BAADA YA HAR-MAGEDONI​—Baraka za utawala wa Mfalme zitadumu milele

Angalia sura ya 8, fungu la 18-22

3. “Mfalme Mmoja Atawatawala Wote” Milele