Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kuridhika

Kuridhika

Met 30:​8, 9; 1Ti 6:​6-8; Ebr 13:5

Tazama pia Mt 6:​11, 19-21, 24-33; Mdo 20:35; Flp 4:​11-13

  • Simulizi la Biblia linalohusika:

    • 1Fa 17:​8-16—Yehova anamthawabisha mjane wa Sarefathi, kwa kumpatia si vitu vingi vya kimwili, bali chakula cha kutosha kila siku—muujiza huu unaweza kutufundisha kuhusu kuridhika