Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Ukarimu

Ukarimu

Met 11:25; Mdo 20:35; 2Ko 9:11

Tazama pia Met 19:17; Mt 10:8; Lu 6:38

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • 1Nya 22:​6-16—Mfalme Daudi anatoa mchango wa kujenga hekalu kwa ukarimu, ingawa hakuruhusiwa kujenga hekalu hilo kama alivyotarajia

    • 1Fa 17:​8-16—Mjane wa Sarefathi anampatia Eliya chakula chake kidogo kilichobaki hata ingawa yeye na mwana wake wanakaribia kufa njaa