Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Babu na Nyanya (Bibi)

Babu na Nyanya (Bibi)
  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • 1Fa 15:​9-13—Kwa ujasiri Mfalme Asa anafanya uamuzi mgumu kuhusiana na nyanya (bibi) yake, anakataa kuruhusu uhusiano wa familia umzuie kumtanguliza Yehova

    • Met 13:22—Babu na nyanya (bibi) wanaweza kuwaachia wengine urithi mzuri wa kiroho

    • 2Ti 1:5; 3:​14, 15—Nyanya ya Timotheo, Loisi, anapongezwa kwa imani yake isiyo na unafiki na kwa kumzoeza Timotheo tangu utotoni