Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Wivu

Wivu

Wivu usiofaa

Met 14:30; 1Ko 13:4

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • Mwa 4:​3-8—Kaini anamwonea wivu Abeli; wivu wa Kaini unageuka kuwa chuki na hatimaye kusababisha mauaji

    • Mwa 37:​9-11—Ndugu za Yosefu wanachochewa na wivu

    • 1Sa 18:​6-9—Mfalme Sauli anamtilia shaka Daudi kwa sababu mfalme huyo ana wivu

Wivu; husuda

Ni nini kinachoweza kutusaidia kuepuka kuwa na wivu?