Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mama

Mama

Mama ana majukumu gani?

Met 31:​17, 21, 26, 27; Tit 2:4

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • Mwa 21:​8-12—Sara anapotambua kwamba Ishmaeli anamtesa Isaka, mwana wake mdogo, anamsihi Abrahamu amlinde mwana wake

    • 1Fa 1:​11-21—Bath-sheba anapotambua kwamba ufalme na uhai wa Sulemani, mwana wake, upo hatarini, anamsihi Mfalme Daudi aingilie kati

Kwa nini tunapaswa kuwatii na kuwaheshimu mama zetu?

Kut 20:12; Kum 5:16; 27:16; Met 1:8; 6:​20-22; 23:22

Tazama pia 1Ti 5:​9, 10

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • 1Pe 3:​5, 6—Mtume Petro anafafanua kwamba Sara amekuwa kama mama ya mabinti wengi kwa sababu ya imani yake yenye nguvu

    • Met 31:​1, 15, 21, 28—Mama ya Mfalme Lemueli anatoa ushauri muhimu kwa mwana wake, mfalme, kuhusu ndoa na jukumu lenye kuheshimika la mke na mama

    • 2Ti 1:5; 3:15—Mtume Paulo anaongozwa na roho kumsifu Eunike, mama ya Timotheo kwa kumfundisha mwana wake Maandiko tangu utotoni licha ya kwamba mume wake si mwamini