Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Ponografia

Ponografia

Ayu 31:1; Zb 101:​2, 3; Mt 5:​27-30; Kol 3:5

Tazama pia 1Ko 6:18; Efe 4:​17-19

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • Mwa 6:​1, 2; Yud 6—Baadhi ya malaika waliwatazama wanawake na kuwatamani, wakafanya dhambi nzito na kuharibu uhusiano wao na Yehova

    • 2Sa 11:​2-4—Dhambi ya Mfalme Daudi inayotia ndani uzinzi na uuaji ilianza alipomtazama mke wa mwanamume mwingine aliyekuwa akioga