Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

WIMBO NA. 157

Amani Milele!

Amani Milele!

(Zaburi 29:11)

  1. 1. Japo machafuko

    Watu wa Mungu,

    Wanaishi kwa amani.

    Tuna imani,

    Tunatazamia

    Matatizo yatakwisha.

    (KORASI)

    Duniani kote,

    Kutakuwa na amani

    Milele.

    Toka mabondeni

    Na milimani,

    Wote wataona

    Amani.

  2. 2. Ulimwengu mpya,

    Kwa umoja

    Tutamsifu Yehova.

    Amani tele

    Na pia upendo—

    Zitaijaza dunia.

    (KORASI)

    Duniani kote,

    Kutakuwa na amani

    Milele.

    Toka mabondeni

    Na milimani,

    Wote wataona

    Amani.

    (KORASI)

    Duniani kote,

    Kutakuwa na amani

    Milele.

    Toka mabondeni

    Na milimani,

    Wote wataona.

    (KORASI)

    Duniani kote,

    Kutakuwa na amani

    Milele.

    Toka mabondeni

    Na milimani,

    Wote wataona

    Amani,

    Amani!