Jumamosi
“Tangazeni habari njema za wokovu wake siku baada ya siku”—Zaburi 96:2
Asubuhi
-
3:20 Video ya Muziki
-
3:30 Wimbo Na. 53 na Sala
-
3:40 “Ni Lazima . . . Nitangaze Habari Njema ya Ufalme” (Luka 4:43)
-
3:50 DRAMA YA BIBLIA:
Habari Njema Kulingana na Yesu: Drama ya 1
Nuru ya Kweli ya Ulimwengu —Sehemu ya 2 (Mathayo 2:1-23; Luka 2:1-38, 41-52; Yohana 1:9)
-
4:25 Wimbo Na. 69 na Matangazo
-
4:35 MFULULIZO: Unabii wa Kimasihi Watimizwa!
-
• Mjumbe Alikuja Kabla Yake (Malaki 3:1; 4:5; Mathayo 11:10-14)
-
• Alizaliwa na Bikira (Isaya 7:14; Mathayo 1:18, 22, 23)
-
• Alizaliwa Bethlehemu (Mika 5:2; Luka 2:4-7)
-
• Alilindwa Alipokuwa Mtoto (Hosea 11:1; Mathayo 2:13-15)
-
• Angeitwa Mnazareti (Isaya 11:1, 2; Mathayo 2:23)
-
• Aliwasili Wakati Uliowekwa (Danieli 9:25; Luka 3:1, 2, 21, 22)
-
-
5:40 UBATIZO: Endelea ‘Kujitiisha Kwenye Habari Njema’ (2 Wakorintho 9:13; 1 Timotheo 4:12-16; Waebrania 13:17)
-
6:10 Wimbo Na. 24 na Mapumziko
Alasiri
-
7:35 Video ya Muziki
-
7:45 Wimbo Na. 83
-
7:50 MFULULIZO: Tumia Habari Njema Kushinda Habari Mbaya
-
• Porojo Zenye Madhara (Isaya 52:7)
-
• Dhamiri Yenye Hatia (1 Yohana 1:7, 9)
-
• Matukio ya Karibuni (Mathayo 24:14)
-
• Kuvunjika Moyo (Mathayo 11:28-30)
-
-
8:35 MFULULIZO: ‘Kutamani Kutangaza Habari Njema’
-
• Si Kazi ya Mitume Tu (Waroma 1:15; 1 Wathesalonike 1:8)
-
• Tendo la Ibada (Waroma 1:9)
-
• Uwe Tayari Ukiwa na Vifaa Vinavyofaa (Waefeso 6:15)
-
-
9:15 VIDEO: Jinsi “Habari Njema Inavyozaa Matunda na Kuongezeka Ulimwenguni Kote” (Wakolosai 1:6)
-
9:40 Wimbo Na. 35 na Matangazo
-
9:50 MFULULIZO: Endelea Kuhubiri Habari Njema
-
• Popote Ulipo (2 Timotheo 4:5)
-
• Popote Mungu Anapoelekeza (Matendo 16:6-10)
-
-
10:15 Utafanya Nini “kwa Ajili ya Habari Njema”? (1 Wakorintho 9:23; Isaya 6:8)
-
10:50 Wimbo Na. 21 na Sala ya Mwisho