Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Ujasiri wa Kijana Mmoja

Ujasiri wa Kijana Mmoja

Kwa Ajili ya Vijana Wetu

Ujasiri wa Kijana Mmoja

Maagizo: Fanya zoezi hili katika mazingira matulivu. Unaposoma maandiko, jiwazie ukiwa katika matukio yanayozungumziwa. Wazia kikao. Sikia sauti. Hisi kama wahusika wakuu wanavyohisi. Wazia kwamba masimulizi haya ni halisi kabisa.

CHUNGUZA TUKIO HILI.—SOMA 1 SAMWELI 17:1-11, 26, 32-51.

Unafikiri Goliathi alikuwa na umbo na sauti ya aina gani?

․․․․․

Ingawa Daudi hakuwa katika jeshi la Waisraeli, ni nini kilichomchochea apigane na Goliathi? (Ona mstari wa 26.)_

․․․․․

Ni nini kilichomfanya Daudi aamini kwamba Yehova angemsaidia? (Soma tena mstari wa 34-37.)

․․․․․

CHIMBA ZAIDI.

Ukitumia vichapo vya kufanya utafiti unavyoweza kupata, jaribu kaupata

(1) Kimo cha Goliathi. (1 Samweli 17:4)

Mikono sita na shubiri moja ni sawa na ․․․․․.

(2) Uzito wa vazi la Goliathi la chuma. (1 Samweli 17:5)

Shekeli 5,000 za shaba ni sawa na ․․․․․.

(3) Kichwa cha mkuki wa Goliathi.—1 Samweli 17:7.

Shekeli 600 za chuma ni sawa na ․․․․․.

TUMIA MAMBO ULIYOJIFUNZA. ANDIKA MAMBO ULIYOJIFUNZA KUHUSU . . .

Ujasiri.

․․․․․

Kumtegemea Yehova badala ya kujitegemea.

․․․․․

NJIA NYINGINE UNAZOWEZA KUTUMIA HABARI HIYO.

Ni vizuizi gani vilivyo kama Goliathi unavyokabili?

․․․․․

Ni mambo gani (uliyojionea au yaliyowapata wengine) yanayokuthibitishia kwamba Yehova hatakuacha? ․․․․․.

․․․․․

NI MAMBO GANI KATIKA SIMULIZI HILI AMBAYO YAMEKUGUSA MOYO SANA, NA KWA NINI?

․․․․․