Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Esta Alikuwa Jasiri

Esta Alikuwa Jasiri

Pakua:

  1. 1. Esta alikuwa na

    Maisha rahisi.

    Kafunzwa na Mordekai,

    Kuhusu Yehova.

    Hatimaye Esta

    Akawa malkia.

    Alitii; ni jasiri.

    Ninajifunza:

    (KORASI)

    Na niwe kama Esta.

    Alikuwa jasiri;

    Alimpenda Yehova.

    Nataka kumwiga.

    Na niwe kama Esta

    Kwa kuwa alitii.

    Nataka kumwiga

    Kwa kuwa jasiri.

  2. 2. Mume wake mfalme,

    Japo si mwamini.

    Esta alimheshimu;

    Hivyo akapendwa.

    Na alipoombwa

    Azuie njama mbaya.

    Alitii; ni jasiri.

    Ninajifunza:

    (KORASI)

    Na niwe kama Esta.

    Alikuwa jasiri;

    Alimpenda Yehova.

    Nataka kumwiga.

    Na niwe kama Esta

    Kwa kuwa alitii.

    Nataka kumwiga

    Kwa kuwa jasiri.