JW LUGHA
Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi—JW Lugha (Windows)
JW Lugha inaweza kutumiwa katika vifaa vifuatavyo:
Tablet na kompyuta zinazotumia Windows 10 au ya karibuni zaidi
Utegemezo kwa vifaa vifuatavyo hautapatikana:
Kompyuta zinazotumia Windows 8.1 au chini zaidi
Windows Phone (matoleo yote)
Unaweza kumwomba rafiki anayejua jinsi ya kutumia programu ya JW Lugha akusaidie. Hilo likishindikana, tafadhali jaza na utume fomu yetu ya msaada mtandaoni