Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Nimezama Katika Mapenzi

Nimezama Katika Mapenzi

Nimezama Katika Mapenzi

Pakua:

Kurasa Zenye Alama za Muziki

1. Mungu ametupa zawadi,

Zawadi ya kupendana.

Wawili wanapopatana,

Pindi ya pekee huanza.

(KORASI)

Tutaimarisha upendo wetu.

Tukimruhusu,

Yehova.

Atuongoze sote katika yote,

Kwa kweli ninajivunia

Kuwa na wewe,

Kuwa nawe.

2. Tutapendana,

Daima licha ya magumu.

Tutakuwa na uhusiano,

U’sotenganishwa na yeyote.

Na, na, yeyote.

(KORASI)

Tutaimarisha upendo wetu,

Tukimruhusu,

Yehova.

Atuongoze sote katika yote.

Kwa kweli ninajivunia

Kuwa na wewe,

Kuwa nawe.

(DARAJA)

Tutunze penzi letu.

Ni zawadi bora toka kwa Mungu.

Ni’tayari kufa kwa ajili yako

We ni sehemu ya huu mwili wangu

Mwanamke bora sana kwa mambo yote.

Nitakupenda sikuzote.

3. Nachotaka utambue

Jinsi navyokupenda kwa dhati.

Sitaisahau ile siku,

Uliyokuwa mke wangu.

Mi nawe.

(KORASI)

Tutaimarisha upendo wetu,

Tukimruhusu,

Yehova.

Atuongoze sote katika yote,

Kwa kweli ninajivunia

Kuwa na wewe,

Kuwa nawe.

Kwa kweli ninajivunia

Kuwa na wewe.