Najitoa Kwako CHEZA Najitoa Kwako Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi 1. Nitazamapo nyota, Zinavyomeremeta, Ninavutiwa na kazi zako, Nakupenda sana. 2. Ninajitoa kwako, Niongoze daima. Na kila siku, nitakutii Kwa moyo wangu wote. (KORASI) Kwa ajili yangu Ulitoa Mwanao mpendwa, Umenipatia Tumaini, Najitoa kwako; Najitoa kwako. 3. Jua likiangaza, Nuru inavutia, Ninashangazwa na njia zako Ah! Mungu wa milele! (KORASI) Kwa ajili yangu Ulitoa Mwanao mpendwa, Umenipatia Tumaini, Najitoa kwako; Najitoa kwako. (KORASI) Kwa ajili yangu Ulitoa Mwanao mpendwa, Umenipatia Tumaini, Najitoa kwako; Najitoa kwako. Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Najitoa Kwako NYIMBO ZILIZOTUNGWA Najitoa Kwako Lugha ya Alama ya Tanzania Najitoa Kwako https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014324/univ/art/1014324_univ_sqr_xl.jpg