Hamia kwenye habari

Ndugu Sergey Petrenko

APRILI 27, 2023 | HABARI ZIMEONGEZWA: JUNI 28, 2024
URUSI

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | “Hatujakosa Chochote”

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | “Hatujakosa Chochote”

Juni 27, 2024, Mahakama ya Wilaya ya Maiminskiy iliyo katika Jamhuri ya Altai ilimhukumu Ndugu Sergey Petrenko kifungo cha nje cha miaka minne. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Kama Sergey, sisi pia tunajua kwamba Yehova hataacha kamwe kuwa tegemeo letu tunapoendelea kuvumilia kwa uaminifu.​—2 Samweli 22:19, 20.

Mfuatano wa Matukio

  1. Januari 16, 2022

    Msako wafanywa nyumbani kwake

  2. Julai 28, 2022

    Kesi ya uhalifu yafunguliwa

  3. Desemba 7, 2022

    Awekewa vizuizi vya kusafiri

  4. Desemba 22, 2022

    Kesi ya uhalifu yaanza