MATUKIO MUHIMU YA MWAKA ULIOPITA
Kutafsiri Biblia Katika Lugha Nyingi
KUFIKIA Agosti 31, 2015,Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ilikuwa imetafsiriwa ikiwa nzima au kwa sehemu katika lugha 129. Pia, inapatikana katika tovuti ya jw.org kwa lugha 129, kutia ndani lugha saba za ishara [alama]. Matoleo yafuatayo yalitolewa mwaka wa utumishi wa 2015: