DRAMA YA 1
Nuru ya Kweli ya Ulimwengu
Hapo mwanzo Neno alikuwako pamoja na Mungu naye alikuwa mungu (gnj 1 00:00–00:43)
Neno alitumiwa na Mungu kuumba vitu vingine vyote (gnj 1 00:44–01:00)
Uzima na nuru vilikuja kuwako kupitia kwa Neno (gnj 1 01:01–02:11)
Giza halijaishinda nuru (gnj 1 02:12–03:59)
Luka anaeleza sababu na hali zilizomwongoza kuandika simulizi lake, anamwandikia Theofilo (gnj 1 04:13–06:02)
Gabrieli anatabiri kuzaliwa kwa Yohana Mbatizaji (gnj 1 06:04–13:53)
Gabrieli anatabiri kuzaliwa kwa Yesu (gnj 1 13:52–18:26)
Maria anamtembelea Elisabeti mtu wake wa ukoo (gnj 1 18:27–21:15)
Maria anamtukuza Yehova (gnj 1 21:14–24:00)
Kuzaliwa kwa Yohana na kupewa jina (gnj 1 24:01–27:17)
Unabii wa Zekaria (gnj 1 27:15–30:56)
Maria anapata mimba kupitia roho takatifu; jinsi Yosefu alivyotenda (gnj 1 30:58–35:29)
Yosefu na Maria wanasafiri kwenda Bethlehemu; Yesu anazaliwa (gnj 1 35:30–39:53)
Malaika wanawatokea wachungaji waliokuwa nje (gnj 1 39:54–41:40)
Wachungaji wanaenda kwenye hori (gnj 1 41:41–43:53)
Yesu anatolewa kwa Yehova hekaluni (gnj 1 43:56–45:02)
Simeoni anapata pendeleo la kumwona Kristo (gnj 1 45:04–48:50)
Ana anazungumza kumhusu mtoto huyo (gnj 1 48:52–50:21)
Ziara ya wanajimu na njama ya Herode ya kuua (gnj 1 50:25–55:52)
Yosefu anamchukua Maria na Yesu na kukimbilia Misri (gnj 1 55:53–57:34)
Herode awaua wavulana wadogo Bethlehemu na katika wilaya zake zote (gnj 1 57:35–59:32)
Familia ya Yesu inakaa Nazareti (gnj 1 59:34–1:03:55)
Yesu aenda hekaluni akiwa na umri wa miaka 12 (gnj 1 1:04:00–1:09:40)
Yesu anarudi Nazareti na wazazi wake (gnj 1 1:09:41–1:10:27)
Nuru ya kweli ilikuwa karibu kuja ulimwenguni (gnj 1 1:10:28–1:10:55)