Hamia kwenye habari

Armenia

 

Mashahidi wa Yehova Nchini Armenia

  • Mashahidi wa Yehova​—11,313

  • Makutaniko​—134

  • Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo uanofanywa kila mwaka​—25,977

  • Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi wa watu nchini​—1 kwa 277

  • Idadi ya watu​—3,103,000

2018-02-26

ARMENIA

Jinsi Armenia Ilivyotambua Haki ya Wanaokataa Kujiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri

Historia ya wale wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri nchini Armenia inaonyesha jinsi maamuzi ya Mahakama ya Ulaya yalivyotokeza mabadiliko makubwa ya matendo ya serikali dhidi ya wale wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri.

2016-08-18

ARMENIA

Mashahidi wa Yehova wa Kwanza Kuandikishwa Kwenye Programu ya Utumishi wa Badala wa Kiraia Nchini Armenia Wamaliza Wajibu Wao

Mashahidi nchini Armenia wanaweza kutimiza wajibu wao serikalini kwa njia ambayo inawafanya waheshimu dhamiri zao na kuinufaisha nchi na raia wake.

2015-03-11

ARMENIA

Mpango wa Utumishi wa Badala wa Kiraia Wafanikiwa Nchini Armenia

Mashahidi wa Yehova wanaoshiriki katika programu hiyo, wafanyakazi wenzao, na wenye mamlaka na wasimamizi wa programu hiyo waeleza kuhusu mafanikio yake.

2014-01-24

ARMENIA

Armenia Yawaachilia Waliofungwa kwa Sababu ya Dhamiri

Uamuzi wa kesi fulani ya kihistoria ulichangiaje kufunguliwa kwa Mashahidi hawa?

2019-01-19

ARMENIA

Armenia Yawaachilia Huru Mashahidi Wote wa Yehova Waliofungwa Gerezani

Kwa mara ya kwanza tangu mwaka wa 1993, hakuna Shahidi wa Yehova hata mmoja aliye gerezani nchini Armenia kwa kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri.

2014-01-24

ARMENIA

Armenia Yaruhusu Wanaokataa Kujiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri Wafanye Utumishi wa Badala wa Kiraia

Inaonekana Armenia imetambua haki za wale wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri. Mashahidi kadhaa wameruhusiwa kufanya utumishi wa badala wa kiraia.

2013-01-23

ARMENIA

Armenia Yaagizwa Iwalipe Fidia Mashahidi 17 wa Yehova

Mnamo Novemba 27, 2012, Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu iliamua kwamba ni lazima serikali ya Armenia ilipe fidia ya Euro 112,000 (Dola 145,226 za Marekani) kwa sababu ya kukiuka haki ya watu 17 waliokataa utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri yao.