Matukio Muhimu Kihistoria Nchini India
JANUARI 27, 2014—Tume ya Serikali ya Haki za Kibinadamu ya Karnataka yathibitisha polisi walikiuka haki za Mashahidi na ikapendekeza walipwe fidia
MACHI 2002—Mashahidi wahamishia ofisi yao Bangalore kwa sababu ya ukuzi
2002—Jeuri ya vikundi vya watu dhidi ya Mashahidi wa Yehova yaongezeka
AGOSTI 11, 1986—Mahakama Kuu ya India yatoa uamuzi muhimu sana katika kesi ya Shahidi, Bijoe Emmanuel v. State of Kerala, na hivyo kutetea uhuru wa kusema
MACHI 7, 1978—Shirika la kisheria la Mashahidi, Watch Tower Bible and Tract Society of India lasajiliwa
JANUARI 26, 1950—India inapata katiba mpya ikiwa nchi huru
DESEMBA 9, 1944—Serikali yaruhusu machapisho ya Mashahidi wa Yehova
JUNI 14, 1941—Serikali yapiga marufuku machapisho ya Mashahidi wa Yehova
1926—Mashahidi wafungua ofisi Bombay
1905—Kikundi cha kwanza cha Mashahidi wa Yehova chafanya ibada